Kamishna
Jenerali wa Uhamiaji, Dkt. Anna Peter Makakala akibadilishana nyaraka
za makabidhiano ya msaada wa vifaa mbalimbali uliotolewa na Shirika la
Kimataifa la Uhamiaji, IOM. Anayebadilishana naye ni Mwakilishi wa
Shirika hilo nchini Tanzania Dkt. Qassim Sufi. Vifaa hivyo vinajumuisha
Kompyuta, mashine za kutolea nakala na kuchapishia vyenye thamani ya
Dola za Kimarekani elfu arobaini. Tukio hilo ambalo lilishuhudiwa na
wanahabari Limefanyika katika Ukumbi wa Mikutano Makao Makuu yaUhamiaji,
Kurasini, Dar es Salaam.
|
Kamishna
Jenerali wa Uhamiaji, Dkt. Anna Peter Makakala akipokea msaada wa vifaa
mbalimbali uliotolewa na Shirika la Kimataifa la Uhamiaji, IOM.
Anayekabidhi vifaa hivyo ni, Mwakilishi wa Shirika hilo nchini Tanzania
Dkt. Qassim Sufi. Vifaa hivyo vinajumuisha Kompyuta, mashine za kutolea
nakala na kuchapishia vyenye thamani ya Dola za Kimarekani elfu
arobaini.
Tukio
hilo ambalo lilishuhudiwa na wana habari Limefanyika katika Ukumbi wa
Mikutano Makao Makuu ya Uhamiaji, Kurasini, Dar es Salaam.
SHARE
No comments:
Post a Comment