Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wakuu wa Mikoa inayolima
zao la pamba nchini kwenye makazi yake mjini Dodoma Septemba 9, 2017.
Kulia kwake ni Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Dkt. Charles Tizeba,
watatu kulia ni Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Selemani
Jafo na wanne kulia ni Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Maimuna
Tarishi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
SHARE
No comments:
Post a Comment