Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amefungua mkutano wa siku
mbili wa wadau wa Mafuta na Gesi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na Naibu
Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Dkt. Medard Kalemani wakati wa mkutano
wa siku mbili wa wadau wa Mafuta na Gesi uliofanyika kwenye hotel ya
Hyatt Regency jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa
ufunguzi wa mkutano wa siku mbili wa wadau wa Mafuta na Gesi ambapo
wadau wa Gesi na Mafuta watapata nafasi ya kujadili Fursa zilizopo.
(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
SHARE
No comments:
Post a Comment