Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Habari
(MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi akielezea
jambo wakati wa zoezi la kukabidhi Leseni za machapisho kwa Kampuni ya
The Guardian Ltd leo Jijini Dar es Salaam ikiwa ni muendelezo wa
utekelezaji wa matakwa ya sheria ya Huduma za Habari ya mwaka 2016
kifungu kidogo namba 5(e). Kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi
anayeshugulikia Usajili Patrick Kipangula na kulia ni Mhariri Mkuu wa
The Guardian Ltd Jesse Kwayu. Kampuni hiyo inamiliki magazeti ya
Nipashe, Nipashe Jumapili, Sema Usikike,The Guardian, The Guardian On
Sunday, Kulikoni, Lete Raha, This Day, Alasiri na Taifa Letu.
Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Habari
(MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi akimkabidhi
Leseni za machapisho Mhariri Mkuu wa Kampuni ya The Guardian Ltd Jesse
Kwayu (kulia) ikiwa ni muendelezo wa utekelezaji wa matakwa ya Sheria ya
Huduma za Habari ya Mwaka 2016 kifungu kidogo namba 5(e).Kushoto ni
Mkurugenzi Msaidizi anayeshugulikia Usajili Patrick Kipangula. Kampuni
hiyo inamiliki magazeti ya Nipashe, Nipashe Jumapili, Sema Usikike,The
Guardian, The Guardian On Sunday, Kulikoni, Lete Raha, This Day, Alasiri
na Taifa Letu.
Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Habari
(MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi akimkabidhi
Leseni za machapisho Meneja wa Sheria na Uhusiano wa Kampuni ya The
Guardian Ltd Bw. Emmanuel Matondo(kulia) ikiwa ni muendelezo wa
utekelezaji wa matakwa ya Sheria ya Huduma za Habari ya Mwaka 2016
kifungu kidogo namba 5(e). Kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi
anayeshugulikia Usajili Patrick Kipangula. Kampuni hiyo inamiliki
magazeti ya Nipashe, Nipashe Jumapili, Sema Usikike,The Guardian, The
Guardian On Sunday, Kulikoni, Lete Raha, This Day, Alasiri na Taifa
Letu.
Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Habari
(MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi na Meneja wa
Sheria na Uhusiano wa Kampuni ya The Guardian Ltd Bw. Emmanuel Matondo
(kulia) wakionyesha Leseni ya machapisho aliyotolewa kwaa ajili ya
gazeti la Nipashe mara baada ya kukabidhiwa leo Jijini Dar es
Salaam.Utoaji wa Leseni unafuatia muitikio wa wamiliki wa machapisho
kuzingatia matakwa ya Sheria ya Huduma za Habari ya mwaka 2016 kifunga
namba 5(e). Kampuni hiyo inamiliki magazeti ya Nipashe, Nipashe
Jumapili, Sema Usikike,The Guardian, The Guardian On Sunday, Kulikoni,
Lete Raha, This Day, Alasiri na Taifa Letu.
Mhariri Mkuu wa Kampuni ya The
Guardian Ltd Bw. Jesse Kwayu na Meneja Sheria na Uhusiano wa kampuni
hiyo Bw. Emmanuel Matondo wakiwa wameshika Leseni 10 za machapisho
yanayomilikiwa na The Guarid baada ya kukabidhi wa Leseni kumi za
machapisho yanayomilikiwa na Kampuni hiyo leo Jijini Dar es Salaam.
Kampuni hiyo inamiliki magazeti ya Nipashe, Nipashe Jumapili, Sema
Usikike,The Guardian, The Guardian On Sunday, Kulikoni, Lete Raha, This
Day, Alasiri na Taifa Letu.
Picha na: Idara ya Habari – MAELEZO
SHARE
No comments:
Post a Comment