Mwenyekiti wa Kamati ya Maudhui, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)
Mrs Valerie Ndeneingo akiongea na wamiliki wa Radio na
Television za Mtandaoni (On line Radio and Television) kwenye Ofisi ya
Mamlaka ya Mawasiliano, jijini Dar Es Salaam tarehe 13, September 2017
Ndugu
Mwenyekitiwa Tanzania Bloggers Network(TBN)
Wamilikiwa Radio naTelevisheni za Mtandaoni (on line Radio &Televisheni),
Wadauwahabari,
Mabibi na mabwana
Awali ya yote naomba nianze
kwa Kumshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema kwa kutupa uzima na
kutuwezesha kukutana kwenye mkutano huu muhimu unaozungumzia masuala ya
Mawasiliano na huduma zinazotolewa n avyombo vyetu vya habari.
Vilevile naomba nichukue fursa hii
kuwa shukuru kwa kuitikia wito na mchango wenu mkubwa mnaoutoa kupitia
vyombo vyenu mbalimbali vya Mawasiliano kama vile online Radio, online
televisheni, blogs na vinginevyo.Vyombo hivi ni matokeo ya ukuaji wa
kasi wa teknolojia ya habari, nani fursa nzuri kwa wanahabari kutoa na
kusambaza habari mbalimbali zinazohusu jamii inayotuzunguka.
Ni
miakatakribanimitanotuiliyopita,
kulikuwahakunafursahizizakupatamatangazoyatelevishenikupitiakwenyemitandao,
nakamailikuwepo, uborawapichaulikuwahafifu.
Lakinisasahudumahiiimeeneakwawatanzaniawengi,
nahivyokuweponaumuhimuwakuisimamiahudumahiiipasavyoiliiwezekuletatijakwenyetaifanasivinginevyo.
Mchangowenukupitiahudumahizosiotuunaelimishawatumiajibalipiaunatoamwanganafursambalimbaliambazowatanzaniawanawezakuzitumiakujiimarishakiuchumi.
MamlakayaMawasiliano Tanzania
(TCRA),
kupitiaKamatiyakeyaMaudhuiinatambuanakuthaminisanakuwepokwafursahiiyaupashanajiwahabari.
Na ni kwakuzingatiaumuhimuhuoSerikaliiliamuakuruhusuhudumakama vile
online Radio, online televishenina
blogsziendeleekutolewawakatimiongozonataratibustahikizikikamilishwa.
NduguWanahabari,
Mkutanowetuwaleo,
umelengakuzungumzianamna bora
yaupashanajiwahabarinautangazajiwamatukiombalimbaliyanayotokea ,(current
affairs)kupitia “vyombovyahabarimtandaoni” (On line media).
NduguWanahabari,
Kama mnavyofahamu, TCRA,
pamojanamambomengine,
imepewadhamanayakisheriakusimamiamaudhuikatikavyombovyaUtangazajina
vilevyaki-elekroniki.Jukumuhili,
linaifanyaTCRAkuhakikishakuwainakuwakaribunawatoahudumanawatumiajiwavyombohivinakujiridhishakuwavyombohivivinatumikakwanamna
bora
iliyokusudiwakatikajamii.NiendeleekusematukuwaTCRAinatambuaumuhimuwavyombovyahabarikupitiamitandao
(online media)
ikiwanipamojanamitandaoyakijamiikatikakuboreshamaishayawatanzanianakuletamaendeleo.
Ni kwaajilihiyo,
leotumeonanivyemakukutananawadauwahabarikupitiamitandaonawengineo,ilituwezekupelekanakufikishaujumbekwawatumiajiwahudumazamitandaokwamustakabaliwanchiyetu,
Amani yanchiyetunamafanikioya kila mtu, mmojammoja, nayanchikwaujumla
kwamba yakomikononimwenu.
NduguWanahabari,
BaadayakutoaUtangulizihuo, nianzekwakutoamaangalizomachacheyafuatayokwawatoahudumazahabari, hususanikupitiamitandao:
Ni wajibuwetukufahamukuwa,
sikilahabaritunayoipatakutokakwajamiiinafaakusambazwakwajamii.
MaadiliyaUandishitunayotumianakuzingatiakwenyevyombovyaUtangazajiwa
Radio
naTelevisheniyanapaswakutumikakwenyeusambazajiwahabarikupitiamitandao.
Tuelewekuwakunahabarizinginehazinatijakwajamii,
nazinginehuletauchochezi.Ni
wajibuwetukamawadaunawatumiajiwamitandaoyakijamiikuhakikishakuwatunahabarishahukutukizingatiakuwahabarizetuzinajengaumojawakitaifa,
mshikamanonaushirikianobainayawatanzaniabilakujengahofu,
kuchocheachukinauhasamabainayawatanzania.
Tungependaielewekekuwakutumiamitandaoyakijamiikutoahabarihakuondoiumuhimuwakufuatamaadiliyauandishinaupashanajiwahabari.
MaadiliyaUandishiyanatutakakujaliheshimana
utu wakilamtanzania. Mambo yandaniyamtubinafsinayaki-familia,
hayapaswikusambazwakwenyevyombovyahabarivyamitandaoni.
Hiiinaondoaheshimana Utu wamtu.
Habariyoyoteyamtubinafsihaipaswikutangazwaisipokuwa
paleambapoitalazimikakwamaslahiyaumma mambo
hayoyatangazwenavyombohusika.
- MatumiziyaLugha
Nduguwanahabari,
VyombovyaHabarikupitiamitandaovimekuwamstariwambelekupotoshalughayetuya
Kiswahili, navilevilekutumialughachafuzisizonastahakwajamii.
Tukumbukekuwa, habarinamatumiziyalugha
chafumtandaonikwasasayanasambaakwakasikubwa,
ikizingatiwakuwawatumiajiwamitandaowanaongezekasikuhadisiku. Hiini
kwasababumatukiomengiyanapotokea, huwafikiawananchimapemazaidi.
Ni
vyematukawamakinikatikakuchaguamanenonakuwanamatumizisahihiyalughakwaajiliyakuwahabarishawananchiwetumaana
matumiziyalughachafuhayatavumiliwahatakidogo.
- VyanzonaUsambazajiwaHabarinaMatukio
Nduguwanahabari,
SotetunashuhudiakuwaTeknolojiayaHabarimtandaoni,
imetoafursakwamtuyeyotekuwachanzo cha habari.
Kwamfano;baadhiyawatumiajiwamitandaowamekuwavyanzovyaHabari,
kwakutengenezahabariwenyewe, kwa kujirekodi(clips)
nakusambazamitandaonihabari(clips) hizo.
Wenginewamekuwawakipigapichanakurekodimatukiombalimbalinabaadayekuyasambazamitandaoni.
Kuwachanzo cha
habarinakusamabazamatukionijamboambalolinatakiwalifanywekwatahadharikubwa.
IkumbukwekuwamaadiliyauandishiwaHabarihayaruhusukusambazapichakamazilezitokanazonamatukioyaajalizikionyeshautupuwamtualiyepataajalinadamuambapohuletahofukwajamii.
Naombakuwakumbushanakuwatahadharishakuwanikosa
la jinaikwachanzochochote cha
habarinausambazajiwahabarizamatukioiwapomaudhuiyakeniyaleyasiyofaa.
Mwishokabisanaombaniwashukurusanakwakufikakwenyekikaohikinanitoewitokwakuwataka
wale woteambaowanadhamanayakuhabarisha au kuwachanzo cha
habarinakusambaza,kuitumiadhamanahiyohukuwakijuakuwawanawajibikakuulindausalamawanchiyetu.
Ninawashukurusanakwamuda wenu na kwa kunisikiliza
SHARE
No comments:
Post a Comment