Afisa
Mkuu wa Biashara wa Tigo, Hugh Sonn akifafanua jambo katika mkutano na
waandishi wa habari kuzindua huduma mpya za Tigo Business zinazowasaidia
wafanyabiashara kurahisisha mawasiliano na kuongeza ufanisi wa biashara
zao. Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Tigo, Simon Karikari. |
No comments:
Post a Comment