Meneja
Mawasiliano wa Tigo, Woinde Shisael akimkabidhi simu aina ya Tecno S1
mmoja kati ya washindi 120 waliojishindia simu kwenye promosheni ya
mwisho ya Jaza Ujazwe Ujaziwe zaidi , Cecilia Paul mkazi wa Kimara,
jumla ya washindi 720 wamejishindia simu nchi nzima . Hafla hiyo
ilifanyika Duka la Tigo Manzese jijini Dar Es Salaam jana.
|
Meneja Mawasiliano wa Tigo, Woinde Shisael akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya washindi walioshinda simu aina ya Tecno S1 zilikuwa zinatolewa kwenye promosheni ya Jaza ujazwe Ujaziwe zaidi. |
SHARE
No comments:
Post a Comment