Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Augustine Mahiga (katikati)
akifafanua jambo kwa Waandishi wa Habari wakati akitoa ufafanuzi juu ya
tuhuma za Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu ushirikiano wa
Tanzania na Korea ya Kaskazini mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Augustine Mahiga (katikati)
akifafanua jambo kwa Waandishi wa Habari (hawapo pichani) wakati akitoa
ufafanuzi juu ya tuhuma za Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu
ushirikiano wa Tanzania na Korea ya Kaskazini, kushoto ni Katibu Mkuu
wa Wizara hiyo Dkt. Aziz Mlima na kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano cha Wizara hiyo Bi. Mindi Kasiga.
Mwandishi wa Habari toka kituo cha
Televisheni cha Channel Ten, David Ramadhan akimuuliza swali Waziri wa
Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Augustine
Mahiga (aliye kaa katikati) wakati Waziri huyo akitoa ufafanuzi juu ya
tuhuma za Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu ushirikiano wa
Tanzania na Korea ya Kaskazini.
Picha na Eliphace Marwa – Maelezo
SHARE
No comments:
Post a Comment