Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,
Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki
(Mb) akiwa kwenye kikao na wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya
Utawala na Serikali za Mitaa kilichofanyika Ukumbi wa Utawala wa Chuo
Kikuu Dodoma (UDOM).
Baadhi ya wajumbe wa Kamati ya
Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa wakisoma kwa makini
Taarifa ya Utekelezaji wa Agizo la Serikali kuhamia Dodoma
iliyowasiliswa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi
wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb).
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,
Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki
(Mb) akiwasilisha taarifa ya hatua iliyofikiwa katika utekekezaji wa
agizo la Serikali kuhamia Dodoma kwa wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya
Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa katika Ukumbi wa Utawala wa
Chuo Kikuu Dodoma (UDOM).
Mwenyekiti Kamati ya Kudumu ya
Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa Mhe. Jasson S. Rweikiza (Mb)
akichangia hoja mara baada ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti
ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb)
kuwasilisha taarifa ya hatua iliyofikiwa katika utekekezaji wa agizo la
Serikali kuhamia Dodoma kwa wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya
Utawala na Serikali za Mitaa.
Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya
Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa Mhe. Mwita Waitara (Mb) akichangia
hoja mara baada ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya
Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb)
kuwasilisha taarifa ya hatua iliyofikiwa katika utekekezaji wa agizo la
Serikali kuhamia Dodoma kwa wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya
Utawala na Serikali za Mitaa.
Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais,
Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro akitoa ufafanuzi
wa masuala ya kiutumishi kwa wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya
Utawala na Serikali za Mitaa mara baada ya Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb)
kuwasilisha taarifa ya hatua iliyofikiwa katika utekekezaji wa agizo la
Serikali kuhamia Dodoma kwa kamati hiyo.
SHARE








No comments:
Post a Comment