Afisa
huduma kwa wateja wa Benki ya UBA Tanzania, Bi Stella Matau akifurahia
kumuhudumia mmoja wa wateja wao wakubwa aliyefika katika benki hio huku
benki hio ikiendelea kung’ara katika kutoa huduma bora kwa wateja kwa
wakati wote
Baadhi
ya wafanyakazi wa benki ya UBA Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja
na baadhi ya wateja wao waliofika katika benki hio kwaajili ya kupata
huduma za kibenki
Meneja Uendeshaji wa Benki ya UBA Tanzania, Bw
Chriss Byaruhanga (wa Kwanza kushoto) akikata keko na baadhi ya wateja
wao ikiwa ni ishara ya kuendeleza shamrashamra za wiki ya huduma kwa
wateja ambapo wateja hao wameisifu benki hio kwa kutoa huduma bora
wakati na sio kwa kipindi cha kuadhimisha wiki ya huduma kwa wateja.
Meneja Uendeshaji wa Benki ya UBA Tanzania, Bw
Chriss Byaruhanga akigawa keki kwa baadhi ya wateja na wafanyakazi wa
benki hio ikiwa ni ishara ya kuzindua wiki ya huduma kwa wateja.
Mmoja wa wateja wa benki ya UBA Tanzania akipata huduma ya kuweka pesa
Mkuu
wa idara ya masoko wa benki ya UBA Tanzania, Brendasia Kileo akigawa
keko kwa mmoja wa wateja waliokuwa wakipata huduma ndani ya benki mapema
leo ikiwa ni muendelezo wa wiki ya Huduma kwa wateja
Wiki
ya huduma kwa wateja inaendelea huku benki ya uba tanzania ikiendelea
kutoa huduma bora na zenye kutimiza malengo ya wateja wao huku kituo
chao cha huduma kwa wateja kikiendelea kushika hatamu kwa wateja wao kwa
kuwapa huduma bora masaa 24. Uba Bank ambao hivi karibuni walijidhatiti
tena kwa kuanzisha kituo cha huduma kwa wateja kwa masaa 24 wamezidi
kuwapatia huduma bora wateja wao bila kuangalia kuwa ni wiki ya huduma
kwa wateja wao Hutoa huduma bora siku zote.
Uba
bank wanafurahi kuwahudumia wateja wao siku zote huku wiki ya huduma
kwa wateja ikiendelea kuwa sehemu tu ya kuendeleza kutoa huduma bora kwa
wateja.
SHARE
No comments:
Post a Comment