Mwanamuziki mkongwe wa bongo fleva Khalid Mohammed 'TID Mnyama' Akiwa amebebwa juu na Mashabiki waliofia Kilimani bara wakati wa Tamasha la Mziki Mnene linaloendeshwa na Rdio ya EFM kupitia programu ya nje ndani
Mwanamuziki mkongwe wa bongo fleva Khalid Mohammed 'TID Mnyama' akiimba na Mashabiki wakati wa Tamasha la Mziki Mnene lililofanyika Kilimani Bar Kimara Temboni Jijini Dar es Salaam RdJ Mamy akifanya vitu vyake katika Tamasha la Mziki Mnene lililofanyika Kilimani Bar Kimara Temboni Jijini Dar es Salaam RDJ Majey Majizo akicheza na Tantable wakati wa Tamasha la Mziki Mnene lililofanyika Kilimani Bar Kimara Temboni Jijini Dar es Salaam Msanii wa Muziki wa Singeli Manfongo akiimba wakati wa Tamasha la Mziki Mnene lililofanyika Kilimani Bar Kimara Temboni Jijini Dar es Salaam Msanii wa Bongo Fleva Shetah akiimba na Mashabiki wakati wa Tamasha la Mziki Mnene lililofanyika Kilimani Bar Kimara Temboni Jijini Dar es Salaam RDJ SPUR akionesha ufundi wa kucheza na mashine wakati wa Tamasha la Mziki Mnene lililofanyika Kilimani Bar Kimara Temboni Jijini Dar es Salaam Mkali wa Muziki wa Singeli nchini , Virus Mdudu akifanya mashambulizi katika jukwa la Mziki Mnene lililofanyika Kilimani Bar Kimara Temboni Jijini Dar es Salaam Mtangazaji wa Kipindi cha Genge , Pido akifanya yake kwenye Tamasha la Mziki Mnene lililofanyika Kilimani Bar Kimara Temboni Jijini Dar es Salaam Mashabiki walifika katika Tamasha la Mziki Mnene lililofanyika Kilimani Bar Kimara Temboni Jijini Dar es Salaam
SHARE
No comments:
Post a Comment