Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP
Simon Sirro wa tatu toka kulia leo asubuhi alishiriki mazoezi ya
utayari na kuwatia hamasa Askari wa Mkoa wa Tabora, katika ziara yake
ya siku moja mkoani humo, hatua hiyo ni kutokana na kuwataka askari wa
Jeshi la Polisi kuwa na utayari wakati wote .
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP
Simon Sirro akiwa amembeba Joshua mtoto wa muumini wa kanisa la Siroham
mkoani Tabora kabla ya uzinduzi wa zahanati ya Polisi iliyojengwa kwa
hisani ya kanisa hilo.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP
Simon Sirro wa tatu kutoka kushoto akiangalia mmoja wa askari wa Jeshi
la Polisi akiwa katika mazoezi ya utayari kupita juu ya kamba mkoani
Tabora leo.
Picha na Jeshi la Polisi.
SHARE
No comments:
Post a Comment