Kiongozi
wa kundi la wafanyakazi wa Benki ya NMB Kitengo cha Rasilimali watu,
Paschal Itangaja (kushoto) akikabidhi sehemu ya msaada wa bidhaa
mbalimbali walizozitoa kwa kituo cha watoto wenye mahitaji maalumu cha
Shule ya Msingi Uhuru Mchanganyiko cha jijini Dar es Salaam. Miongoni
mwa msaada waliokabidhi kwa watoto hao wasioona na kusikia ni pamoja na
biadhaa za mashuka, vyakula (mchele unga), mafuta ya kupikia, sabuni
vyote vikiwa na thamani ya shilingi milioni mbili. Wafanyakazi
wa Kitengo cha Rasilimali watu wa Benki ya NMB wakitoa msaada katika
kituo cha watoto wenye mahitaji maalumu cha Shule ya Msingi Uhuru
Mchanganyiko cha jijini Dar es Salaam. Miongoni mwa msaada waliokabidhi
kwa watoto hao wasioona na kusikia ni pamoja na biadhaa za mashuka,
vyakula (mchele unga), mafuta ya kupikia, sabuni vyote vikiwa na thamani
ya shilingi milioni mbili. Kiongozi

ya shilingi milioni mbili. Wafanyakazi
wa Kitengo cha Rasilimali watu wa Benki ya NMB wakitoa msaada katika
kituo cha watoto wenye mahitaji maalumu cha Shule ya Msingi Uhuru
Mchanganyiko cha jijini Dar es Salaam. Wafanyakazi
wa Kitengo cha Rasilimali watu wa Benki ya NMB wakitoa msaada katika
kituo cha watoto wenye mahitaji maalumu cha Shule ya Msingi Uhuru
Mchanganyiko cha jijini Dar es Salaam. Mwalimu
Asha Mfaume wa kituo cha watoto wenye mahitaji maalumu cha Shule ya
Msingi Uhuru Mchanganyiko cha jijini Dar es Salaam akiwashukuru
Wafanyakazi wa Kitengo cha Rasilimali watu wa Benki ya NMB mara baada ya
msaada walioutoa. Kiongozi
wa kundi la wafanyakazi wa Benki ya NMB Kitengo cha Rasilimali watu,
Paschal Itangaja (kushoto) akizungumza katika hafla hiyo.
No comments:
Post a Comment