Mshindi
wa Pili katika Mashindano ya Miss Tanzania U.S.A. mwaka 2017, Neema
Olory (wa pili toka kushoto) akikabidhiwa Bendera ya Taifa na Meneja wa
Masoko toka Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) Geofrey Meena (kushoto) kama
ishara ya kuwa balozi wa Utalii nchini Marekani, kulia ni Mwanzilishi wa
Kampuni ya Coutious on Tanzania Justa Lujwengana na wa pili kulia ni
Afisa Uhusiano Mkuu toka Bodi hiyo Geofrey Tengeneza.Meneja
wa Masoko toka Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) Geofrey Meena (kushoto)
akimkabidhi Mshindi wa Pili katika Mashindano ya Miss Tanzania U.S.A.
mwaka 2017, Neema Olory baadhi ya vitabu vinavyoelezea vivutio mbambali
vya utalii vilivyopo Tanzania mara baada ya kumkabidhi Bendera ya Taifa
kama ishara ya kuwa balozi wa Utalii nchini Marekani.Mshindi
wa Pili katika Mashindano ya Miss Tanzania U.S.A. mwaka 2017, Neema
Olory akionesha baadhi ya vitabu vinavyoelezea vivutio mbambali vya
utalii vilivyopo Tanzaniakwa waandishi wa habari (hawapo pichani) mara
baada ya kukabidhiwa Bendera ya Taifa kama ishara ya kuwa balozi wa
Utalii nchini Marekani mapema hii leo jijini Dar es Salaam. (Picha na
Eliphace Marwa – Maelezo)
No comments:
Post a Comment