Kuna hofu kubwa ya kutokea janga la
kimazingira Kusini mwa bahari ya China wakati meli ya kubeba mafuta
inazidi kufuja siki mbili baada ya kugongana na meli nyingine ya mizigo.
Wakoaji wanaojaribu kufika eneo hilo wanazuiwa na moshi mkubwa.
Wahuhudumu 30 raia wa Irana na 2 wa Bangladesh bado hawajulikani waliko licha ya jitihada za kimataifa kuwaokoa.
Meli inayoteketea baharini katika hatari ya kulipuka na kuzama
Kiwangi cha uchafuzi wa mazingira bado hakijulikani. Chombo hicho bado kilikuwa kinateketea leo Jumatatu.
Sanchi ilikuwa imebeba tani 136,000 za mafuta ya Iran wakati iligongana na meli ya mizigo ya China Jumamosi usiku.
Wahudumu 21 wa meli ya mizigo cha China waliokolewa.
CHANZO: BBC
SHARE
No comments:
Post a Comment