Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akisalimiana na Baadhi ya
viongozi wa Serikali mra baada ya kuwasilia katika Uwanja wa Ndege wa
Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Terminal I kwa ajili ya mapokezi ya
Rais wa Jamhuri ya Rwanda Paul Kagame aliyefanya ziara ya kikazi ya siku
moja leo Jijini Dar es Salaam.Rais
wa Jamhuri ya Rwanda Paul Kagame akishuka katika ndege alipowasili
katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Terminal I
leo Jijini Dar es Salaam. Rais Kagame amefanya ziara ya kikazi ya siku
mmoja.Baadhi
ya wananchi wakimlaki Rais wa Jamhuri ya Rwanda Paul Kagame mara baada
ya kupokelewa na mwenyeji wake Rais Dkt. John Pombe Magufuli katika
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) leo Jijini Dar es
Salaam.Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli (kulia)
akimkaribisha mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Rwanda Paul Kagame Ikulu ya
Jijini Dar es Dar es Salaam leo. Rais Kagame amekuja nchini kwa ziara ya
kikazi ya siku mmoja. Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisisitiza
jambo mbele ya waandishi wa habari kuhusu mazungumzo baina yake na
mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Rwanda Paul Kagame (kushoto) leo Ikulu
Jijini Dar es Dar es Salaam. Rais Kagame amekuja nchini kwa ziara ya
kikazi ya siku moja.Rais
wa Jamhuri ya Rwanda Paul Kagame akisisitiza jambo mbele ya waandishi
wa habari kuhusu mazungumzo baina yake na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli (kulia) leo Ikulu
Jijini Dar es Dar es Salaam. Rais Kagame amekuja nchini kwa ziara ya
kikazi ya siku moja. Baadhi
ya viongozi wakifuatilia mkutano wa Marais DK. John Pombe Magufuli wa
Tanzania na Paul Kagame wa Rwanda mara baada ya kumaliza mazungumzo yao
Ikulu Jijini Dar es Salaam.Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana
mikono na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Rwanda Paul Kagame leo Ikulu
Jijini Dar es Dar es Salaam. Rais Kagame amekuja nchini kwa ziara ya
kikazi ya siku moja. (Picha na: MAELEZO)
No comments:
Post a Comment