*Ni kuanzia Mawaziri hadi Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewaagiza
Mawaziri wote, Naibu Mawaziri, Makatibu Wakuu, Wakuu wa Mikoa na Wilaya
na Wakurugenzi watoe taarifa za fedha za miradi ya maendeleo kwa
wananchi badala ya kusubiri ziara za viongozi wakuu.
SHARE
No comments:
Post a Comment