Sehemu ya mitambo ya Kinyerezi 11 inavyoonekana
Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo akipata maelekezo kutoka kwa wataalamu wa mitambo hiyo.
Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo akiendelea na ukaguzi wa mitambo ya Kinyerezi 11 jijini Dar es salaam.
Waziri wa
Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo akiangalia kitu kwenye
kompyuta wakati alipotembelea na kukagua ujenzi wa mitambo ya Kinyerezi
11 jijini Dar es salaam jana.(P.T)
SHARE
No comments:
Post a Comment