This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it. 600w" sizes="(max-width: 630px) 100vw, 630px" style="display: block; margin-left: auto; margin-right: auto;" />
Mbunge wa
viti maalum (CCM) mkoa wa Singida, Aysharose Mattembe, akizungumza
kwenye hafla ya kumaliza mafunzo ya ujasiriamali yaliyohudhuriwa na
madiwani 120 wa viti maalum mkoa wa Singida jana.Mafunzo hayo ya siku
tatu,yalikuwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya wanawake duniani.Wa
kwanza kushoto (waliokaa) ni Katibu Tawala msaidizi sekretarieti mkoa wa
Singida, Aziza Mumba, anayefuata ni Mwenyekiti UWT mkoa wa Singida,
Diana Chilolo na wa kwanza kulia ni Meneja wa NMB kanda ya kati,Straton
Chilongola.Mbunge Mattembe alimpogeza mbunge mstaafu jimbo la Singida
mjini,Mohammed Gullam Dewji kufadhili mafunzo hayo.
This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it. 600w" sizes="(max-width: 628px) 100vw, 628px" style="display: block; margin-left: auto; margin-right: auto;" />
Mwenyekiti
wa UWT mkoa wa Singida Diana Chilolo ,akizungumza kwenye hafla ya
kumaliza mafunzo ya ujasiriamali yaliyohudhuriwa na madiwani 120 wa viti
maalum mkoa wa Singida jana. Mafunzo hayo ya siku tatu,yalikuwa ni
sehemu ya maadhimisho ya siku ya wanawake duniani.Wa kwanza kulia
(waliokaa) ni meneja NMB kanda ya kati,Straton Chilongola na wa kwanza
kushoto ni mbunge wa viti maalum (CCM) mkoa wa Singida, Aysharose
Mattembe na yanayefuata ni Katibu Tawala msaidizi sekretarieti mkoa wa
Singida, Aziza Mumba.
This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it. 600w" sizes="(max-width: 630px) 100vw, 630px" style="display: block; margin-left: auto; margin-right: auto;" />
Meneja wa
NMB tawi la Singida mjini, Sospeter Njile Magesse, akizungumza kwenye
hafla ya kumaliza mafunzo ya ujasiriamali yaliyohudhuriwa na madiwani
120 wa viti maalum mkoa wa Singida jana.Mafunzo hayo ya siku
tatu,yalikuwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya wanawake duniani.NMB
ilitoa zawadi ya kompyuta 10 zenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni
kumi kwa vikundi vya wajasiriamali hao kwa ajili ya kutunzia kumbukumbu.
This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it. 600w" sizes="(max-width: 630px) 100vw, 630px" style="display: block; margin-left: auto; margin-right: auto;" />
Meneja wa
NMB kanda ya kati, Straton Chilongola, akizungumza kwenye ufungaji wa
mafunzo ya ujasiriamali yaliyohudhuriwa na wajasiriamali 120 ambao ni
madiwani wa viti (CCM) mkoa wa Singida.Mafunzo hayo yalikuwa ni sehemu
ya maadhimisho ya siku ya wanawake duniani.(P.T)
SHARE
No comments:
Post a Comment