Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye (aliyevaa tai)
akiwa katika picha ya pamoja na wamiliki wa Blogs (Bloggers) aliowaalika
wakati wa kuwasilisha hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya
wizara hiyo kwa mwaka wa Fedha wa 2016/2017, bungeni Dodoma. Kushoto ni
Naibu Waziri wa wizara hiyo,Annastazia Wambura. (PICHA ZOTE NA RICHARD
MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
Baadhi ya Bloggers wakiwa bungeni wakati wa Bajeti ya wizara hiyo
Waziri
Kivuli wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Joseph
Mbilinyi ‘Mr Sugu’ akisoma taarifa ya maoni ya upinzani kuhusu wizara
hiyo.
Baadhi
ya Bloggers wakisikiliza mwenendo wa bunge. Wa pili kulia ni Mwenyekiti
wa Muda wa Chama cha Wamiliki wa Bloggers Tanzania (TBN).
Nape akiwa na Bloggers pamoja na wasanii bungeni Dodoma
Nape akiwa na Bloggers
Nape akisalimiana na Blogger Salum Mwinyimkuu
Mmiliki
wa Blog ya Fullshangwe, John Bukuku (kushoto) na Mmiliki wa Matukio360
Blog Salum Mwinyimkuu wakiwa na mwandishi wa habari wa Raia Tanzania,
Sharifa Malira
SHARE
No comments:
Post a Comment