TRA

TRA

Monday, May 2, 2016

BUNGE LAPITISHA BAJETI YA OFISI YA RAIS TAMISEMI, UTUMISHI NA UTAWALA BORA 2016/2017

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !


J1
Naibu Waziri wa nchini, Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Selemani Jafo akiingia ukumbi wa Bunge siku ya kupitishwa bajeti ya Wizara hiyo mwishoni wa wiki mjini Dodoma.
J2
Waziri wa nchini, Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) George Simbachawene akitoa hoja ili Bunge liidhinishe na kupitisha bajeti ya mwaka 2016/2017 ya Wizara hiyo mjini Dodoma.
J3
Naibu Waziri wa nchini, Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Selemani Jafo akijibu hoja zilizoelekezwa na Wabunge kwenye Wizara hiyo kabla Bunge kuidhinisha na kupitisha bajeti ya mwaka 2016/2017 mwishoni wa wiki mjini Dodoma.
J4
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Angellah Kairuki akitoa hoja ili Bunge liidhinishe na kupitisha bajeti ya Wizara hiyo ya mwaka 2016/2017 mwishoni wa wiki mjini Dodoma.
J5
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe.Dkt. Philip Mpango akitoa ufafanuzi kuhusu masuala mbalimbali yanayohusu fedha za Serikali wakati wa kupitisha bajeti ya Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Utumishi na Utawala Bora ya mwaka 2016/2017 mwishoni wa wiki mjini Dodoma.
J6
Wabunge wakiendelea na kikao cha Bunge cha bajeti ya Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Utumishi na Utawala Bora ya mwaka 2016/2017 mwishoni wa wiki mjini Dodoma.(P.T)

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger