Wakati Wizara mbalimbali zikiendelea
kuwasilisha bajeti zao ikiwemo makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka
wa fedha 2016/2017, Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto ambayo may 11 iliwasilisha bajeti yake ambayo imejadiliwa kwa siku mbili mfululizo.
Vipaumbele kadhaa vililengwa ikiwa ni pamoja na hili la kero za wakinamama pindi wanapokwenda kujifungua hospitali, Mbunge wa Nzega Hussein Bashe kaliona na hakutaka kulikalia kimya…
SHARE
No comments:
Post a Comment