Mwenyekiti
wa Mji Mdogo wa Himo ambaye pia ni mwenyekiti wa mtaa wa Miembeni
akizungumza wakati wa uzinduzi wa mfuko wa kikundi cha Miembeni
kilijulikanacho kama Miembeni Uchumi Society.
Baadhi
ya wananchi ambao ni wakazi wa Mtaa wa Miembeni katika mji mdog wa Himo
mkoani Kilimanjaro wanaounda kikundi cha Miembeni Uchumi Society.
Mjumbe
wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rwaichi Kaale akizungumza
wakati wa hafla fupi ya uzinduzi wa mfuko wa Miembeni Uchumi Society.
Baadhi ya wanakikundi.
Mwenyekiti
wa Umoja wa Wanawake wa CCM wilaya ya Moshi Grace Mzava akizungumza
wakati wa hafla fupi ya uzinduzi wa kikundi hicho.
Baadhi ya wanakikundi.
Mwenyekiti
wa Mji Mdogo wa Himo,Hussein Jamal akitoa pesa kiasi cha Shilingi
Milioni moja kama mchango wake wa kutunisha mfuko wa kikundi.
Mjumbe
wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rwaichi Kaale akionesha
hundi ya kiasi cha shilingi Milioni moja aliyotoa kwa ajili ya kutunisha
mfuko wa kikundi.
Mama Kaale akikabidhi Hundi ya kiasi cha shilingi Milioni moja kwa Mwenyekiti wa mji Mdogo wa Himo.
Mwenyekiti
wa Umoja wa Wanawake wa CCM wilaya ya Moshi Grace Mzava akikabidhi
fedha kiasi cha shilingi Milioni moja kama mchango wake katika
kutunisha mfuko wa kikundi hicho.
Mwenyekiti
wa Umoja wa Wanawake wa CCM wilaya ya Moshi Grace Mzava akikabidhi
pikipiki mbili kwa Mwenyekiti wa kikundi cha Miembeni Uchumi
Society,Nelson Gabriel ikiwa ni sehemu ya miradi iliyoanzishwa na
kikundi hicho.
Mwenyekiti
wa Kikundi hicho Nelson Gabriel akifurahia msaada wa pikipiki
uliotolewa kwa kikindi hicho na Mwenyekiti wa UWT wilaya ya Moshi,Grace
Mzava.
Mwenyekiti
wa Mji Mdogo wa Himo ,Hussein Jamal akikabidhi kwa Mweka hazina wa
kikundi hicho Grace Silayo kiasi cha shilingi Milioni tatu
zilizopatikana wakati wa uzinduzi rasmi wa mfuko wa kikundi hicho.
Wananchi
katika Mtaa wa Miembeni wakiwa wamembeba juu Mwenyekiti wao Hussein
Jamal kwa kubuni njia ya kuweza kuwakwamua wakazi wa mtaa huo
kiuchumi.Picha na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.
SHARE
No comments:
Post a Comment