Waziri wa
Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa akipita katika
jengo la abiria wanaonkwenda Unguja wakati alipotembelea bandari ya Dar
es Salaam kukagua utendaji wa mashine za kukagua mizigo na abiria
bandarini hapo.
Waziri wa
Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa akiongea na
abiria wanaosafiri kuelekea Unguja wakati alipotembelea bandari ya Dar
es Salaam kukagua utendaji wa mashine za kukagua mizigo na abiria
bandarini hapo.
Waziri wa
Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa akipita katika
jengo la abiria wanaonkwenda Unguja wakati alipotembelea bandari ya Dar
es Salaam kukagua utendaji wa mashine za kukagua mizigo na abiria
bandarini hapo
Waziri wa
Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa (kushoto),
akitoa maelekezo kwa Kaimu Meneja wa Uendeshaji Mamlaka ya Usimamizi wa
Bandari Tanzania (TPA), Bw. Percoval Salama (wa kwanza kulia) wakati
alipotembelea bandari ya Dar es Salaam.
Waziri wa
Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa akimsikiliza
Kaimu MKurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA),
Bw. Mattaka (kulia) wakati alipotembelea bandari ya Dar es Salaam.
Waziri wa
Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa (katikati)
akitoa maelekezo kwa Kaimu MKurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa
BAndari Tanzania (TPA), Bw. Mattaka (kushoto)wakati alipotembelea
bandari ya Dar es Salaam kukagua utendaji wa mashine za kukagua mizigo
na abiria bandarini hapo.
Waziri wa
Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa (katikati)
akitoa maelekezo kwa viongozi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari
Tanzania (TPA), wakati alipotembelea bandari ya Dar es Salaam kukagua
utendaji wa mashine za kukagua mizigo na abiria bandarini hapo. Wa
kwanza kulia ni MKurugenzi wa Tehama TPA, Abdulahman Mbamba.
Waziri wa
Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa akiongea na
waandishi wa habari mara baada ya kutembelea bandari ya Dar es Salaam
kukagua utendaji wa mashine za kukagua mizigo na abiria bandarini hapo. (P.T)
SHARE
No comments:
Post a Comment