Naibu
Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Watu wenye Ulemavu) Mhe. Dkt. Abdallah
Possi akisalimiana na baadhi ya Watendaji wa Serikali katika Wilaya ya
Busega Mkoani Simiyu wakati wa ziara yake ya kutembelea vituo na shule
za watu wenye Ulemavu tarehe 20 Novemba, 2016.
Naibu
Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Watu wenye Ulemavu) Mhe. Dkt. Abdallah
Possi akizungumza na baadhi ya watendaji wa Serikali (hawapo pichani)
katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Busega Mkoani Simiyu alipofanya ziara
ya kikazi.
Mkuu
wa Wilaya ya Busega Mhe. Tano S. Mwera akizungumza na watendaji wa Kituo
cha kulelea watoto wenye ualbino cha Lamadi (hawapo pichani) wakati wa
ziara ya Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Watu wenye Ulemavu) Mhe.
Dkt. Abdallah Possi Novemba 20, 2016 Mkoani Simiyu.
Naibu
Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Watu wenye Ulemavu)Mhe. Dkt. Abdallah Possi
akipokea mafuta maalumu ya ngozi kwa watu wenye ualbino kutoka kwa Mkuu
wa Kituo cha kuhudumia watoto wenye Ualbino cha Lamadi Bi. Hellen
Ntambulwa ikiwa ni sehemu ya zawadi kwa ziara yake kituoni hapo. Novemba
20, 2016
Naibu
Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Watu wenye Ulemavu) Mhe. Dkt. Abdallah
Possi akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watoto wenye ualbino
wanaolelewa na Kituo cha Lamadi Wilayani Busega Mkoa wa Simiyu.
Naibu
Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Watu wenye Ulemavu) Mhe. Dkt. Abdallah
Possi akimsikiliza Mwandishi wa habari wa ITV Bw. Berensi China wakati
wa ziara yake Kituo cha kulelea watoto wenye Ualbino cha Lamadi Simiyu.
(PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU)
SHARE
No comments:
Post a Comment