Afisa
Maendeleo ya Jamii wa Jiji la Tanga,Mwatumu Dossi akifungua kongamano
la Wanawake Jijini Tanga ambalo lilikuwa na lengo kuu la kujadili
masuala mbalimbali ya kiuchumi kwa wanawake ikiwemo fursa za kiuchumi
sambamba na kupambana na dawa za kulevya kwa jamii lililofanyika ofisi
ya mkuu wa mkoa wa Tanga leo
Afisa Maendeleo ya Jamii wa Jiji la Tanga,Mwatumu Dossi wa pili kutoka kulia akiteta jambo na Mkurugenzi
wa Taasisi ya Tree of Hope ya Jijini Tanga, Fortunata Manyeresa wakati
wa kongamano la wanawake Jijini Tanga kuelekea siku ya wanawake dunia
kushoto ni Rehema na Yahaya Seumbe ambaye ni Afisa kutoka Ofisi ya
Maendeleo ya Jamii kwenye Jiji la Tanga wakifuatilia kongamano hilo.
Baadhi ya Wakina wanawake jijini Tanga wakifuatilia mada mbalimbali zilizokuwa zikitolewa kwenye kongamano hilo
Sehemu
ya Umati wa wanawake wakifuatilia kwa umakini kongamano hilo la
wanawake wa Jiji la Tanga kuelekea siku ya wanawake Dunia ambapo kilele
chake itakuwa ni Machi 8 mwaka huu
Baadhi
ya waandishi wa habari jijini Tanga wakifuatilia kwa umakini kongamano
hilo wa kwanza kulia ni Burhan Yakub wa gazeti la Mwananchi,Bertha
Mwambele wa TBC TV na Sussan Uhinga wa Clous TV
Sehemu
ya wakina wanawake Jijini Tanga wakifuatilia kwa umakini kongamano la
wanawake kuelekea siku ya wanawake ambapo kilele chake ni Machi 8 mwaka
huu
Afisa
Maendeleo ya Jamii wa Jiji la Tanga,Mwatumu Dossi akizungumza na
waandishi wa habari jijini Tanga kuelekea kilele cha maadhimisho ya siku
ya wanawake Dunia Machi 8 mwaka huu mara baada ya kufungua kongamano la
wanawake Jijini Tanga.
Mkurugenzi
wa Taasisi ya Tree of Hope ya Jijini Tanga, Fortunata Manyeresa
akizungumza na waandishi wa habari jijini Tanga baada ya kumalizika kwa
kongamano hilo ambapo alisema kuelekea siku ya wanawake kutafanyika
shughuli mbalimbali za kijamii
Habari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha
SHARE
No comments:
Post a Comment