
Dk. Lorah Madete, Kaimu Naibu Katibu
Mtendaji, Klasta ya Uchumi Jumla, Tume ya Mipango (aliyesimama), akitoa
neno kwa washiriki wa mafunzo kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi ili
afungue mafunzo hayo ya siku tano. Waliokaa ni Bw. Maduka Paul Kessy,
Kaimu Katibu Mtendaji, Tume ya Mipango (katikati) na Bw. John Mduma,
Mhadhiri Mwanamizi, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
SHARE
No comments:
Post a Comment