WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema
Serikali chini ya Mheshimiwa Rais Dkt. John Magufuli inautashi wa dhati
wa kuboresha mazingira ya uwekezani na biashara nchini kwa kuondoa
rushwa na urasimu katika sekta ya umma, hivyo amewakaribisha wawekezaji
na wafanyabiashara wa Mauritius kuja nchini.
SHARE
No comments:
Post a Comment