TRA

TRA

Friday, March 3, 2017

RAIS DK SHEIN AZUNGUMZA NA MABALOZI WALIOTEULIWA KUIWAKILISHA TANZANIA NCHI ZA NJE

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi Dkt. Pindi Kichana anayeiwakilisha Tanzania Nchini Kenya akiwaongoza Mabalozi wengine walioteuliwa hivi karibuni na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli,walipofika Ikulu Mjini Unguja leo kumuaga Rais
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Mabalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania walioteuliwa kuiwakilisha Tanzania Nchi za Nje hivi karibuni wakiongozwa na Balozi Dkt. Pindi Kichana(wa pili kulia) anayeiwakilisha Tanzania Nchini Kenya walipofika Ikulu Mjini Unguja leo kumuaga Rais
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Mabalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania walioteuliwa kiwakilisha Tanzania Nchi za Nje hivi karibuni wakiongozwa na Balozi Dkt. Pindi Kichana(wa pili kulia) anayeiwakilisha Tanzania Nchini Kenya walipofika Ikulu Mjini Unguja leo kumuaga Rais. 
(Picha na Ikulu.)

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger