Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rodrick
Mpogolo akimkaribisha Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Kikomunisti cha
China (CPC), Guo Jinlong, alipowasili na ujumbe wake, kwenye Uwanja wa
Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam, leo. Kulia
ni Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Kanali Mstaafu Ngemela
Lubinga.
SHARE
No comments:
Post a Comment