Kamati
ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge imemtia hatiani Kiongozi wa Kambi
Rasmi ya Upinzani Bungeni(KUB) Freeman Mbowe kwa kudharau mamlaka ya
spika.
Halima Mdee pia ametiwa hatiani na kamati hiyo kwa kudharau mamlaka ya Spika na kutoa lugha ya matusi bungeni
Akisoma uamuzi huo, mjumbe wa kamati, Almasi Maige amesema Bunge lijadili na kutoa uamuzi.
Amesema wote wawili walikiri kwenye kamati na kuomba radhi.
Kwa kuwa Mbowe ni kosa la kwanza, aliitikia wito bila usumbufu na aliomba radhi, Bunge limeazimia kumsamehe.
Kuhusu Mdee, kamati imependekeza azuiwe kuhudhuria vikao vyote vilivyobaki bunge la bajeti.
Kwa hisani ya Mwananchi

SHARE
No comments:
Post a Comment