Cristiano Ronaldo baada ya kuiwezesha timu yake ya Real Madrid kuichapa Atletico Madrid mabao 3-0
Mshambuliaji wa
klabu ya soka ya Real Madrid Cristiano Ronaldo amekuwa mwiba mchungu
baada ya kuiwezesha timu yake ya Real Madrid kuichapa Atletico Madrid
mabao 3-0 katika mchezo wa nusu fainali ya kwanza uliopigwa hapo jana
jumanne katika dimba la Estadio Santiago Bernabeu jijini Madrid.
Ronaldo alipopachika bao la kwanza katika dakika ya 10 kipindi cha kwanza
Ronaldo alipachika mabao hayo katika dakika ya 10 kipindi cha kwanza
na kuandika bao la pili dakika ya 73 kipindi cha pili, huku
akihitimisha karamu ya mabao matatu dakika ya 86 kipindi cha pili.
Bao la pili katika dakika ya 73
Na wakati huo huo Mshambuliaji nyota wa FC Monaco Radamel Falcao amesema hana mpango wowote wa kuondoka katika klabu hiyo ambayo inafukuzia mataji mawili msimu huu, la Ligue 1 na Ligi ya Mabingwa Ulaya.
SHARE











No comments:
Post a Comment