TRA

TRA

Monday, June 12, 2017

MSIMU WA PAMBA; WAKULIMA WAANZA KUUZA PAMBA YAO

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !



Mkulima wa Pamba Mkoani Shinyanga akipima Pamba yake katika mzani uliohakikiwa.

 Wakulima wakiwa wamepanga mafurushi ya pamba wakisubiri ipimwe

Elimu ya Mizani sio zoezi lakukoma bali ni Muendelezo kama Wakala wa Vipimo anavyo onekana kutoa Elimu katika Mikoa ya Shinyanga, Simiyu, Tabora na Mwanza kuhusu vipimo.



Ofisa wa wakala wa Vipimo, Bibi Rehema Michael akipima usahihi wa robota la Pamba kwakutumia mizani iliyohakikiwa na wakala wa Vipimo  mkoani Simiyu mara baada yakufunguliwa kwa Msimu (Picha zote na Wakala wa Vipimo)

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger