Matumaini ya Rafael
Nadal kushinda taji la tatu la Wimbledon yameyeyuka baada ya kukubali
kichapo kutoka kwa Gilles Muller wa Luxembourg.
Kushindwa huku kumemmfanya Nadal kukosa kikombe hicho kwa mara ta tatu mfululizo kama alivyofanya kwa French Open.
Muller, 34, atapambana na Marin Cilic wa Crotia ambaye ni namba saba kwa ubora duniani katika hatua ya nane bora.
SHARE
No comments:
Post a Comment