Uzinduzi
wa filamu mpya ya Omotola Jalade ‘Alter Ego’, umefanyika siku ya jana
Lagos Nigeria kwenye ukumbi wa InterContinental Hotel, Victoria Island.
Omotola Jalade Ekeinde na Stephanie Linus
Omotola
aliambata na mumewe Captain Matthew Ekeinde pamoja na baadhi ya mastaa
kama Rita Dominic, Michelle Dede, Uzor Osimkpa, Adebola Williams,
Stephanie Linus, Delphine Okobah, Tallulah Doherty na wengineo.
Omotola na mume wake
Michelle Dede, Adebola Williams, Rita Dominic na mtaarishaji wa filamu ya “Alter Ego” Moses Inwang
TBoss na Bassey
Uzor Osimkpa
Tallulah Doherty
Delphine Okobah
Mtaarishaji Esther na muongozaji Moses Inwang
Muongozaji wa filamu ya ‘Alter Ego’ akiwa na familia yake
SHARE
No comments:
Post a Comment