Maelfu
ya watu wameandama katika mji wa Istanbul nchini Uturuki dhidi ya Rais
wa nchi hiyo Recip Tayyip Erdogan.Akihutubia katika maandamano hayo,
kiongozi mkuu wa upinzani Kemal Kilicdaroglu, ameishutumu serikali kwa
mfululizo wa kukamatwa na kufungwa kwa watu ikiwa ni matokeo ya jaribio
la mapinduzi lililoshindikana mwaka jana.
Amesema raia wa Uturuki wanaishi chini ya Udikteta, Rais Erdogan maandamano hayo yanaunga mkono ugaidi
SHARE
No comments:
Post a Comment