Msanii
wa Bongo Flava ambaye kwa sasa anafanya vizuri na wimbo wake mpya
‘Wasikudanganye’, Nandy ametaja sababu ya mkali wa muziki wa RnB Bongo,
Ben Pol kuwepo katika video ya wimbo huo.
Hitmaker
huyo wa wimbo ‘One Day’, ameiambia FNL ya EATV kuwa yeye pamoja na team
yake ambayo wanashirikiana katika kazi waliona Ben Pol anafaa kuwepo
katika nafasi hiyo.
“Kwa
sababu nilikuwa nataka nimuweke msanii mwenzangu na katika wasanii
tumeona msanii ambaye mimi naweza kuendana nae ni Ben Pol. Mimi na Ben
Pol tunaendana, kwa hiyo tukaweza kufanya video ana anafiti ila
character, kuna nakubaliabna ambayo tunayo,” amesema Nandy.
Ben
Pol ambaye kwa sasa ameviteka vichwa vya habari kwa namna anavyo-handle
couple yake yao na mchekeshaji Ebitoke, hivi karibuni pia alitokea
katika video ya Jux ‘Umenikamata’ lakini katika angel tofauti.
SHARE
No comments:
Post a Comment