Kairuki
(Mb) akifafanua hoja mbalimbali alizopokea kutoka kwa watumishi wa umma wa
Halmashauri ya Manispaa ya Ilala – Tarafa ya Ukonga (hawapo pichani) wakati wa
kikao kazi na watumishi hao leo Jijini Dar es Salaam. Kulia kwake ni Mkurugenzi
wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala, Bw. Msongela Palela na kushoto kwake ni
Katibu Tawala wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala, Bw. Edward Mpogolo.
Sehemu
ya watumishi wa umma wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala – Tarafa ya Ukonga
wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma
na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) (Hayupo pichani) wakati wa kikao
kazi na watumishi hao kilichofanyika leo Jijini Dar es Salaam.
Mwalimu
wa Shule ya Sekondari ya Furaha, Bw. Daniel Song’oa akiwasilisha malalamiko
yake wakati wa kikao kazi kilichowakutanisha watumishi wa umma wa Halmashauri ya
Manispaa ya Ilala – Tarafa ya Ukonga na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya
Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) leo Jijini Dar
es Salaam.
SHARE
No comments:
Post a Comment