Rais
Magufuli akiwa katika ziara yake mkoani Kigoma amempongeza Mbunge wa zamani David Kafulila kwa kuibua sakata la
IPTL na ESCROW. JPM alisema jana kuwa, " Kafulila wewe hongera,
alisimamia wizi uliokuwa unafanywa IPTL wizi wa ajabu wakamtisha wengine
kumpeleka mahakamani, wakamtukana wengine wakamwita Tumbili sasa Tumbili
amefanya kazi kubwa kwa ajlili ya Watanzania tunahitaji wazalendo katika
nchi hii. Nchi ilikosa uzalendo"
SHARE
No comments:
Post a Comment