Kamishna
wa Uhamiaji Utawala na Fedha Edward Peter Chogero akichangia hoja kwa Watendaji
Wakuu, Maofisa Bajeti na Mipango wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi (hawapo
pichani) wakati wa Kikao cha kupitia Mpango wa Manunuzi wa Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi wa mwaka wa fedha 2017/2018 kilichofanyika leo Agpsti 1, 2017 katika Ukumbi wa
Jeshi la Polisi Makao Makuu ya Jeshi hilo. Kulia ni Kamishna Jenerali wa
Uhamiaji Dk. Anna Makakala.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira (kulia),
akizungumza na Watendaji Wakuu, Maofisa Bajeti na Mipango wa Wizara yake wakati
wa Kikao cha kupitia Mpango wa Manunuzi wa Wizara wa mwaka wa fedha 2017/2018
kilichofanyika leo Agosti 1, 2017 katika Ukumbi wa Jeshi la Polisi Makao Makuu
ya Jeshi hilo.Wa kwanza kulia ni Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Dk. Anna Makakala,
akifuatiwa na Kamishna wa Polisi Jamii Mussa Alli Mussa pamoja na Kamishna wa
Polisi wa Fedha na Logistiki Albert Nyamuhanga.
Mkurugenzi
wa Ununuzi na Ugavi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi David Mwangosi, akiwasilisha
Mpango wa Ununuzi wa Wizara hiyo wa mwaka wa fedha 2017/2018 kwa Watendaji
Wakuu, Maofisa Bajeti na Mipango wa Wizara hiyo wakati wa Kikao cha kupitia
Mpango wa Manunuzi wa Wizara wa mwaka wa fedha 2017/2018 kilichofanyika leo katika
Ukumbi wa Jeshi la Polisi Makao Makuu ya Jeshi hilo. Kulia ni Katibu Mkuu wa
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira wa hiyo.
Kamishna
wa Polisi wa Fedha na Logistiki Albert Nyamuhanga akichangia hoja kwa Watendaji Wakuu,
Maofisa Bajeti na Mipango wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi (hawapo pichani)
wakati wa Kikao cha kupitia Mpango wa Manunuzi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya
Nchi wa mwaka wa fedha 2017/2018 kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Jeshi la
Polisi Makao Makuu ya Jeshi hilo. Kulia ni Kamishna wa Polisi Jamii Mussa Alli
Mussa.
SHARE
No comments:
Post a Comment