Mara nyingi kumekuwa na ripoti za kuugua kwa marais, hasa rais wa Nigeria Muhammadu Buhari.
Lakini sasa rais wa miaka mingi wa Uganda Yoweri Museveni, amenukuliwa akisema kuwa hajawahi kuwa mgonjwa kwa miaka 31.
"Mshasikia kuwa Museveni amekuwa mgonjwa au amelazwa hospitalini kwa miaka 31 iliyipota?" aliuliza Museveni.
"Hii ni kwa sababu ninafuata taratibu za kiafya ambazo zimenisaidia kuizuia baaadhi ya magonjwa kama haya, mengi ya magonjwa hata yanazuiwa."
Rais Yoweri Museveni
- Msomi anayedaiwa kumtusi Museveni apewa dhamana Uganda
- Uganda kuchunguza pembe za ndovu zilizotoweka
- Museveni amteua mwanawe kuwa mshauri
Rais wa Zimbabwe ambaye amekuwa madarakani tangu mwaka 1980 amekosolewa na wapinzani kwa kuiongoza nchi "kutoka hospitalini" baada ya kufanya ziara ya tatu nchini humo kupata matibabu mwaka huu.
CHANZO: BBC
SHARE
No comments:
Post a Comment