RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akisalimiana
na Mkurugenzi na Mwakilishi wa UNAIDS katika Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt.Leopold Zekeng,wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar jana.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akizungumza
na Mkurugenzi na Mwakilishi wa UNAIDS katika Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt.Leopold Zekeng,wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar
jana. [Picha na Ikulu.]
SHARE
No comments:
Post a Comment