Mkurugenzi
Mwendeshaji na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL),
Ladislaus Matindi, akizungumza na waandishi wa habari, wakati akielezea
kuhusu makubaliano ya ushirikiano ya kutoa huduma na Shirika la Posta
Tanzania (TPC), jijini Dar es Salaam leo. Kulia ni Postamasta Mkuu na
Ofisa Mtendaji Mkuu wa TPC, Deo Kwiyukwa. Makubaliano kati ya taasisi
hizo, ni katika nyanja za 1. Usafirishaji wafanyakazi, wanaposafiri
kikazi, 2.Usafirishaji wa mizigo, vifurushi na barua kupitia ndege za
ATCL, 3. Kubadilishana uzoefu wa namna ya kuhudumia wateja, 4.
Ushirikiano wa matumizi ya majengo ya Ofisi na 5. Kushirikishana kwenye
tovuti kuhusu mambo yote ya Masoko. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot. com)
Baadhi
ya Maofisa wa TPC na waandishi wa habari, wakifuatilia maelezo
yaliyokuwa yakitolewa na Mkurugenzi Mwendeshaji na Ofisa Mtendaji Mkuu
wa Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL), Ladislaus Matindi, wakati wa
mkutano huo.

mkutano huo, wa makubaliano ya ushirikiano wa taasisi hizo wa kutoa
huduma.
Postamasta
Mkuu na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Deo
Kwiyukwa (kulia), akizungumza na waandishi wa habari kuhusu ushirikiano
huo.
Postamasta
Mkuu na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Deo
Kwiyukwa (kulia), akifafanua jambo wakati akizungumza na waandishi wa
habari kuhusu ushirikiano huo.
Postamasta
Mkuu na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Deo
Kwiyukwa (kulia), akijibu maswali ya waandishi wa habari, wakati wa
mkutano huo. Wa pili kulia ni Mkurugenzi Mwendeshaji na Ofisa Mtendaji
Mkuu wa ATCL, Ladislaus Matindi, kushoto ni Mkurugenzi wa Biashara na
Masoko wa ATCL, Josephat Kagirwa na aliyesimama ni Mwanasheria wa ATCL,
Phillipo Mahenge.
Postamasta
Mkuu na Ofisa Mtendaji Mkuu wa TPC, Deo Kwiyukwa (kulia) na Mkurugenzi
Mwendeshaji na Ofisa Mtendaji Mkuu wa ATCL, Ladislaus Matindi (kushoto),
wakitia saini mkataba huo wa ushirikiano kati ya taasisi zao hizo.
Kulia anayemsaidia Postamasta Mkuu ni Mwanasheria wa TPC, Bi. Zuhura
Pinde.
Postamasta
Mkuu na Ofisa Mtendaji Mkuu wa TPC, Deo Kwiyukwa (kulia) na Mkurugenzi
Mwendeshaji na Ofisa Mtendaji Mkuu wa ATCL, Ladislaus Matindi (kushoto),
wakitia saini mkataba huo wa ushirikiano kati ya taasisi zao hizo.
Aliyesimama kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa TPC, Elia
Madulesi.
Postamasta
Mkuu na Ofisa Mtendaji Mkuu wa TPC, Deo Kwiyukwa (kushoto) na
Mkurugenzi Mwendeshaji na Ofisa Mtendaji Mkuu wa ATCL, Ladislaus Matindi
(kulia), wakibadilishan hati za mkataba huo, mara baada ya kuusaini
jijini Dar es Salaam jana.
Postamasta
Mkuu na Ofisa Mtendaji Mkuu wa TPC, Deo Kwiyukwa (kushoto) na
Mkurugenzi Mwendeshaji na Ofisa Mtendaji Mkuu wa ATCL, Ladislaus Matindi
(kulia), wakiuonesha kwa waandishi wa habari mkataba huo, mara baada ya
kuusaini jijini Dar es Salaam.
Postamasta
Mkuu na Ofisa Mtendaji Mkuu wa TPC, Deo Kwiyukwa (kulia) akimtambulisha
baadhi ya watendaji wa shirika hilo, Mkurugenzi Mwendeshaji na Ofisa
Mtendaji Mkuu wa ATCL, Ladislaus Matindi (wa pili kulia), mara baada ya
kumalizika shughuli hiyo, Dar es Salaam.
SHARE
No comments:
Post a Comment