Waziri
wa Maliasili, Prof. Jumanne Maghembe akizungumza mkoani Morogoro jana
wakati wa ufunguzi wa mkutano wa pili wa Mashirika yanayohamasisha
upandaji wa miti kibiashara na uzalishaji wa mazao ya misitu barani
Afrika, mkutano huo wa siku mbili umewashirikisha wajumbe kutoka nchi 21
duniani kwa lengo la kubadilishana mawazo juu ya kuboresha uzalishaji
na upatikanaji wa masoko. Aliwataka wajumbe hao kujadili namna ya
kuwawezesha wakulima wa miti wakati wanasubiri kuvuna mazao yao waweze
kujishuulisha na kilimo cha mazao ya muda mfupi kwa kutumia mbinu bora
za kisayansi ili waweze kujikimu kimapato.
Waziri wa Maliasili, Prof. Jumanne Maghembe
akizungumza mkoani Morogoro jana wakati wa ufunguzi wa mkutano wa pili wa Mashirika
yanayohamasisha upandaji wa miti kibiashara na uzalishaji wa mazao ya misitu barani
Afrika, mkutano huo wa siku mbili umewashirikisha wajumbe kutoka nchi 21
duniani kwa lengo la kubadilishana mawazo juu ya kuboresha uzalishaji na upatikanaji
wa masoko.

Baadhi
ya wajumbe kutoka nchi 21 duniani wakifuatilia mkutano huo. Nchi hizo
ni Burkina Faso, Chad, Ethiopia, Gambia,Ghana, Italy, Mali, Niger,
Nigeria, Senegal, Sudan, Liberia, Cameroon, Swaziland, Finland, Zambia,
Canada,Mozambique, Zimbabwe, Kenya na Tanzania.
Mkuu
wa Mkoa wa Morogoro, Dkt. Steven Kebwe akizungumza katika mkutano huo.
Aliwataka wajumbe wa mkutano huo kujadili na kuishauri dunia namna bora
ya kutunza na kuendeleza misitu kwa faida ya kizazi cha sasa na kijacho
ikiwemo utekelezaji wa sheria za usimamizi wa misitu.
Mkurugenzi
wa Idara ya Misitu na Nyuki, Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt.
Ezekiel Mwakalukwa akizungumza katika mkutano huo ambapo aliwataka
wajumbe kujadili kwa uwazi kuhusu mikakati mbalimbali ya kukabiliana na
changamoto za sekta ya misitu na kwamba Serikali kupitia Wizara itapokea
maoni na mapendekezo yao kwa ajili ya kuyafanyia kazi ili kuimarisha
ustawi wa sekta hiyo.
Waziri
Maghembe akieleza jambo kwenye ka mkutano huo ambapo aliwataka wajumbe
wajumbe wajadili namna bora ya kuwafundisha wakulima wa miti kufanya
kilimo bora ikiwa ni pamoja na mafunzo uvunaji wa hewa ukaa ili kuwainua
kimapato. Aliwataka pia kusaidia wakulima wa miti katika upatikanaji wa
masoko ya uhakika.
Prof. Maghembe akisisitiza jambo kwenye mkutano huo.
Waziri
wa Maliasili, Prof. Jumanne Maghembe akizungumza mkoani Morogoro jana
na baadhi ya viongozi waliondaa mkutano wa pili wa Mashirika
yanayohamasisha upandaji wa miti kibiashara na uzalishaji wa mazao ya
misitu barani Afrika muda mfupi kabla ya kufungua mkutano huo wa siku
mbili uliowashirikisha wajumbe kutoka nchi 21 duniani kwa lengo la
kubadilishana mawazo juu ya kuboresha uzalishaji na upatikanaji wa
masoko.
Baadhi ya wajumbe walishiriki mkutano huo kutoka nchi 21 duniani.
Waziri wa Maliasili, Prof. Jumanne Maghembe (kushoto)
akizungumza na Mbunge kutoka Kenya, Chariti Katambi mkoani Morogoro jana baada
ya kufungua mkutano wa pili wa Mashirika yanayohamasisha upandaji wa miti
kibiashara na uzalishaji wa mazao ya misitu barani Afrika, mkutano huo wa siku
mbili umewashirikisha wajumbe kutoka nchi 21 duniani kwa lengo la kubadilishana
mawazo juu ya kuboresha uzalishaji na upatikanaji wa masoko.
akizungumza na Mbunge kutoka Kenya, Chariti Katambi mkoani Morogoro jana baada
ya kufungua mkutano wa pili wa Mashirika yanayohamasisha upandaji wa miti
kibiashara na uzalishaji wa mazao ya misitu barani Afrika, mkutano huo wa siku
mbili umewashirikisha wajumbe kutoka nchi 21 duniani kwa lengo la kubadilishana
mawazo juu ya kuboresha uzalishaji na upatikanaji wa masoko.
Waziri wa Maliasili, Prof. Jumanne Maghembe
akizungumza na waandishi wa habari mkoani Morogoro jana baada ya kufungua
mkutano wa pili wa Mashirika yanayohamasisha upandaji wa miti kibiashara na
uzalishaji wa mazao ya misitu barani Afrika, mkutano huo wa siku mbili umewashirikisha
wajumbe kutoka nchi 21 duniani kwa lengo la kubadilishana mawazo juu ya kuboresha
uzalishaji na upatikanaji wa masoko.

Picha ya pamoja na washiriki wa mkutano huo. (PICHA NA HAMZA TEMBA – WMU)
SHARE
No comments:
Post a Comment