TRA

TRA

Saturday, September 16, 2017

Wakimbizi 18 wa Burundi wauawa DR Congo

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !


 Maafisa wanasema kuwa takriban wakimbizi 18 wa Burundi wameuawa na vikosi vya usalama mashariki mwa taifa la Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo .Wengi wengine wamejeruhiwa.

Maafisa wa DR Congo pamoja na wanajeshi wanadaiwa kuwafyatulia risasi wakimbizi hao walipokuwa wakifanya maandamano ya kupinga mpango wa kuwarudisha nyumbani.

Makumi la maelfu ya raia wa Burundi walitoroka taifa hilo wakati za wa ghasia za 2015 kufuatia hatua ya rais Pierre Nkurunziza kuwania muhula mwengine wa tatu.
 Baadhi ya wakimbizi wa Burundi
Tanzania yatahadharisha wahalifu waliotoka Burundi
Utawala wa Burundi unasema kuwa ni salama kwa raia kurudi nyumbani .

CHANZO: BBC

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger