TRA

TRA

Saturday, September 16, 2017

Mwanamke mkongwe zaidi duniani aaga dunia

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !


 
Mwanamke mmoja wa Jamaica anayedhaniwa kuwa mtu mkongwe zaidi duniani Violet Mos Brown amefariki akiwa na umri wa miaka 117.

Waziri Mkuu wa Jamaica alitangaza kufariki kwa mwanamke huyo kupitia mtandao wa Twitter. 

Vyombo vya habari vya nchini vilisema alifariki kwa utulivu katika hospitali moja katika mji wa Montego Bay.
 
 Mwanamke mkongwe zaidi duniani Violet Mos Brown aaga dunia

Violet Moss Brown, aliyekuwa mtu mkongwe zaidi mapema mwaka huu, alizaliwa mwaka 1900.

Alisema kuwa aliweza kuishi muda mrefu na kwamba aliweza kula karibu kila kitu isipokuwa ngurue na kuku. Alisema pia hakunywa pombe kali.

CHANZO: BBC

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger