Padri Sebastien Yebo wa Kanisa Katoliki la Mtakatifu Robert katika eneo la N'sele jijini Kinshasa- Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ameachiliwa huru jumapili hii. Padri huyo alitekwa Jumamosi na Polisi baada ya kuongoza misa ya asubuhi katika Kanisa hilo. Padri Yebo amezungumza na shirika la habari la RFI na kuthibitisha kuachiliwa kwake, lakini hakueleza hali ilivyokuwa baada ya kukamatwa.
SHARE
No comments:
Post a Comment