Naibu
waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mh. Hamad Masauni wa pili kushoto
akipokelewa na Katibu Mkuu wa wizara hiyo Mbarak Abdulwakil wa watatu
kulia mara baada ya Naibu waziri huyo kupokea Ua alilokabidhiwa na
watumishi wa wizara hiyo ikiwa ni ishara ya kukaribishwa wizarani hapo
baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Magufuli
kumuapisha kushika wadhifa huo Ikulu jana jijini Dar es Salaam.
Naibu
waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mh. Hamad Masauni wa kwanza kushoto
akisalimiana na Kamisha wa Operesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi Paul
Chagonja wa pili kulia muda mfupi baada ya Naibu waziri huyo
kukaribishwa wizarani hapo baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dk. John Magufuli kumuapisha kushika wadhifa huo Ikulu jana
jijini Dar es Salaam wa kwanza kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka
ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA).
Naibu
waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mh. Hamad Masauni wa pili kushoto
akisalimiana na Kamisha wa Utawala na Fedha wa Jeshi la Magereza Gaston
Sanga wa pili kulia muda mfupi baada ya Naibu waziri huyo kukaribishwa
wizarani hapo mara tu baada ya kuapishwa Ikulu jana jijini Dar es
Salaam.
Mkurugenzi
wa Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu Lilian Mapfa watatu kulia
akimkaribisha Naibu waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mh. Hamad Masauni
wa pili kushoto muda mfupi baada ya Naibu waziri huyo kukaribishwa
wizarani hapo mara tu baada ya kuapishwa Ikulu jana jijini Dar es Salaam
wa pili kulia ni Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Huduma kwa Jamii.
SHARE
No comments:
Post a Comment