TRA

TRA

Sunday, January 24, 2016

KAMATI YA UONGOZI YA BUNGE YAKUTANA CHINI YA UENYEKITI WA SPIKA WA BUNGE

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !

Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Y. Ndugai (MB) akiongoza kikaoo cha Kamati ya Uongozi ya Bunge-Ofisi za Bunge Mjini Dodoma leo tarehe 24 Januari 2016. Wajumbe wa Kamati ya Uongozi ni Wenyeviti wote wa Kamati za Kudumu za Bunge.
Naibu Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson (MB) akiwasalimia wajumbe wa Kamati ya Uongozi ya Bunge kabla ya kuanza kwa kikaoo.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mheshimiwa George Masaju akimsalimia Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni Mhe. Freeman Mbowe (MB) kabla ya kuanza kwa kikaoo cha Kamati ya Uongozi. Kushoto ni Mwwenyekiti wa Kamati ya Kilimo, Mifugo na Maji Dkt Mary Nagu (MB)
Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu Mheshimiwa Jenista Mhagama (MB) (aliyesimama katikati) akizungumza na Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni Mhe. Freeman Mbowe (MB) (kushoto) pamoja na Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mheshimiwa George Masaju (kulia).
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mheshimiwa George Masaju (kulia) akizungumza na Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni Mhe. Freeman Mbowe (MB) (kushoto) kabla ya kuanza kwa kikaoo cha Kamati ya Uongozi.
Wajumbe wa Kamati ya Uongozi ya Bunge ambao ni Wenyeviti wa Kamati za Kudumu za Bunge wakisubiri kuanza kwa kikaoo cha kwanza cha Kamati hiyo.(Picha na Ofisi ya Bunge)

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger