TRA

TRA

Tuesday, January 19, 2016

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Mhandisi Suleiman Said azikwa

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !


 Sehemu ya Waombolezaji wakiwa wamebeba Jeneza lenye mwili wa aliekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Mhandisi Suleiman Said Suleima, wakati wakiwasili kwenye Makaburi ya Kisutu jijini Dar es salaam leo kwa ajili ya mazishi.
Sehemu ya Waombolezaji wakiwa kwenye Mazishi ya aliekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Mhandisi Suleiman Said Suleima, yaliyofanyika kwenye Makaburi ya Kisutu, Jijini Dar es salaam.





Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger